Wake Na Wapenzi Wa Wachezaji Wa Man United Walivyo Tokelezea Katika Uzinduzi Wa Mfuko Wao

Line up: Bouchra Van Persie, Sam Cooke (Chris Smalling), Helen Evans, Laura Christ (Alex Buttner), Kaya Hall (Phil Jones), Nicky Pike (Ashley Young), Daniela Martins (Nani), Misse Beqiri (Anders Lindegaard)
 Wakati Manchester United ikionyesha soka bovu katika mchezo ambao walifungwa mabao 2-1 Jumamosi na West Bromwich Albion, lakini wake na marafiki wa kike wa wachezaji wa klabu hiyo hawakuwa katika huzuni mbali ya kutokelezea kiurembo zaidi katika siku ambayo walikwenda kuzindua mfuko wao maalumu uliotambulika kama 'United foundation ladies lunch. 
Picha Zaidi Hapa
 

Georgina Dorsett ni girlfriend wa Tom Cleverley
Daniela Martins ni girlfriend wa Luis Nani
Anna Vidic mke wa mlinzi Msebia Nemanja Vidic

Lisa Carrick mke wa kiungo Michael Carrick toka 2007
Kaya Hall mpenzi wa Phil Jones kulia na Bouchra van Persie mke wa Robin van Persie


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates